Ndugu wasomaji,
Asante kwa kuweza kuufikia ukurasa huu ambao utakupatia maelekezo jinsi ya kusoma kirahisi magazeti yetu Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti kwa njia ya mtandao maarufu kama epaper.
Jinsi ya kujiunga
Ukishafungua ukurasa wa MCL epaper unaopatikana www.epaper.mcl.co.tz utachagua Gazeti ambalo unataka kulisoma, ukilibonyeza kama wewe ni mteja mpya utachagua kifurushi unachotaka kisha utajaza fomu yenye maelezo machache hapo chini baada ya kujaza utapelekwa kwenye ukurasa wa malipo fuata hatua zilizopo iweze kulipia.
Baada ya kulipia utatumiwa ‘password’ ya kuingilia kisha utaweza kuingia na kusoma Gazeti kwa mteja mzoefu yeye ataingia kama kawaida kwa kuweka email na password yake.
Jinsi ya kulipia
Baada ya kuchagua gazeti ulipendalo na kifurushi ambacho kipo kwenye fomu ukibonyeza 'submit' utapelekwa kwenye page ya malipo fuata maelekezo kwa makini kwani kuna njia nne za kulipia credit cards, mobile payments pamoja na Paypal.
Credit card ambazo zinakubalika ni Master, Visa, JCB na kwa upande wa mobile mtandao unaokubalika ni Airtel Money, Mpesa na Tigopesa.
Njia hizi zote ukifuata maelekezo vizuri utaweza kulipa na kusoma gazeti lako ulipendalo.
Gharama
NEW RATE CARD FOR E-PAPER |
|||||
TSHS | |||||
BRAND |
|
||||
1 Week |
1 Month |
3 Months |
6 Months |
1 Year |
|
Mwananchi | 4,500 | 18,000 | 50,000 | 90,000 | 165,000 |
The Citizen | 4,500 | 18,000 | 50,000 | 90,000 | 165,000 |
Mwanaspoti | 3,000 | 12,000 | 30,000 | 55,000 | 100,000 |
USD | |||||
BRAND |
|
||||
1 Week |
1 Month |
3 Months |
6 Months |
1 Year |
|
Mwananchi | 3.00 | 10.00 | 25.00 | 45.00 | 80.00 |
The Citizen | 3.00 | 10.00 | 25.00 | 45.00 | 80.00 |
Mwanaspoti | 1.50 | 5.00 | 14.00 | 25.00 | 40.00 |
Epaper link: www.epaper.mcl.co.tz
Kwa usaidizi wowote, tupate katika:
Email: epaper@thectizen.co.tz
Nambari za simu: +255 754 056 660, +255 785 741 922, +255 737 211 145